moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Huyu jamaa kuna sakata furani linachunguzwa.Bora hata wangempa ubalozi, kutoka KMK mpaka mbunge wa kuteuliwa? Perhaps anaandaliwa kuorwa wizara
Wanawake hywa hawakurupuki mkuu, sema sidhani kama jamaa atatoka salama, na akikutwa na hatia atajuta maana hakuna atakaemteteHuyu jamaa kuna sakata furani linachunguzwa.
Nadhani uchunguzi ukimsafisha anapewa shavu la maana.
Huyu mama hakulupuki kwenye maamuzi yake
Salama mkuuSalam kwenu
Tayari ashakuwa bosi wa bosi wake wa juziHongera mh Makamu wa raisView attachment 1740306
KabisaMiradi yote tutaiendeleza.. View attachment 1740303
Dah.. nasita kusemaπAfande wetuView attachment 1740302
SafiiMbunge wa Kuteuliwa na Waziri wa Mambo ya nje mh Liberata Mulamula akiingia viwanja vya bunge tayari kwa kiapo mbele ya SpikaView attachment 1740297
AyseeBashiru Ali Kakurwa akila kiapo mbele ya Spika, Bungeni Dodoma asubuhi ya leoView attachment 1740293
Ngoja atulie hukoMbunge mteule mh Bashiru Ali Kakurwa akienda kula kiapo View attachment 1740292
HaswaaSiku imeshika kasi...
AmenMungu atupe afya na uzimaππ
πππMungu atupe jioni yenye utulivu na amani...
KweliKila mmoja wetu ni muhimu sana....
Kweli mkuuWanawake hywa hawakurupuki mkuu, sema sidhani kama jamaa atatoka salama, na akikutwa na hatia atajuta maana hakuna atakaemtete
Wamefanya Soo gani hawa hadi kuonywa?!!
Dah.. hiko kitita si mchezo