Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Serikali ya Rwanda imewafukuza raia 18 wa China kwa kosa la kuwafanyisha kazi za nguvu wanayarwanda.
Rais Kagame ametoa idhini ya kutimuliwa wachina hao baada kuthibitika wamefanya kosa hilo.
"Unategemea kuendesha maisha yako Afrika, halafu unakuja kutuletea dharau, haiwezekani"
Amesikika akisema rais Kagame.
Wachina hao inadaiwa waliwafanyisha kazi za kitumwa wanyarwanda.View attachment 1740600
BalaaaaaaaaaShule ya Sekondari Senge
View attachment 1740506
Music is just as addictive as cocaine.
Yes,, and i guess music is my addiction ππMusic is just as addictive as cocaine.
Noted...Be good at marketing and youβll never need sales.