myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mungu atupe siku njema na ya amani..
Mkuu, em wape jina langu basi😂😂Chelsea, Manchester United, Juventus na Real Madrid bado zinamtafuta mlinda lango wa Italia Gianluigi Donnarumma, 22, ambaye amekataa ofa mbili za mkataba mpya AC Milan. (Gianluca di Marzio, via Mail)
SawaWinga wa Crystal Palace Andros Townsend, 29, amesema kuwa klabu hiyo imemuarifu yeye pamoja na wachezaji wengine ambao hawana mkataba kwamba hatma zao hazitajadiliwa hadi mwisho wa msimu. (Talksport)
Nawe pia ...
AyseeMshambuliaji Sergio Aguero, 32, atakuwa "bora" zaidi kusajiliwa Juventus na huenda mchezo wake ukafikia kiwango cha mchezaji mwenzake aliyekuwa Manchester City na wa Argentina Carlos Tevez huko Turin, amesema Juve great Franco Causio. (Gazzetta Dello Sport, via Goal)
VizuriMshambuliji wa Leeds United raia wa Uhispania Rodrigo, 30, ametupilia mbali uvumi kuwa hana furaha Elland Road na kwamba anafuatilia kwa makini kurejea La Liga baada tu ya msimu mmoja. (Leeds Live)
Dooh..Mshambuliaji wa Boca Juniors Tevez, 37, ambaye ana miezi 12 kuamua ikiwa ataendeleza mkataba wake na mabingwa wa Argentina baada ya msimu huu, anahusishwa na kuhamia Marekani. (ESPN)
AmenMungu atupe afya na uzima 🙏🙏
HaswaaJua linachomoza na matumaini mapya...
Ila BANDO mpya za vifurushi vya cm ni NOMA🙄Jua linachomoza na matumaini mapya...
hizi bando zimekuja kibabe sana yaaniIla BANDO mpya za vifurushi vya cm ni NOMA🙄