moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Music is just as addictive as cocaine.
Very TRUE. Mimi nikiwa napita mahali kuna wimbo naupenda unapigwa basi nitasimama hapo hadi uishe 🤣🤣🤣🤣 nikiwa kwenye gari sishuki 😂😂hata kama nimefika niendako hadi uishe. Club sasa!!! DJ akiwa anajua kupanga debe basi nahamia kabisa kwenye dance floor nikitoka hapo roho yangu nyeupeeeee natabasamu tu.😂😂

Hii ngoma naikubali sana, nashangaa kwanini haikufikisha 1B You-Tube.......
Sipati picha una dance hii ngoma 🤣
Sikumoja inabidi tuonyeshane haya mambo huko club watu tufurahi!
Inawezekana, lakini kuna watu wametoa nyimbo hivi karibuni zinaweza fika 1B siyo mida.Mimi pia nashangaa sana Mkuu, labda kwa sababu wengi wamehamia Spotify hivyo kupunguza idadi ya waangaliaji utube.
TrueThe greatest use of life is to spend it for something that will outlast it.
YapReal heroes are men who fall and fail and are flawed, but win out in the end because they've stayed true to their ideals and beliefs and commitments.