capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
''Kuliko unitumie video ya MB 14 ni heri nipande bodaboda nije kuiangalia ulipo''.
Aisee.."Mkate Mkubwa kiboko yake chai"
"Kazi ngumu mpe Mnyamwezi"
TAMISEMI ya Mzaramo Jaffo sasa amekabidhiwa mdigo, mbona mtakoma View attachment 1741091
Duh..Hiki sasa ndio kiwango cha juu kabisa cha hofu aliyokuwa amejenga mwendazake.