Mboga hii inaweza kuliwa kwa chakula chochote; iwe ugali, wali, inaweza pia kutumika kungenezea juisi nzito (smoothie) Ni nzuri pia kutengezea kachumbari, supu ya mbogamboga. Uamzi ni wako tu ni kitu gani unapenda
Huu ni ushauri tu na siyo mbadala wa kutumia dawa. Kama unajihisi NI mgonjwa inabidi upate vipimo na upate tiba