Hii pisi imetulia
Ilikuwa bado VE nalalaga saa 4 😀😀
Hapa niko na amani sana 🙏Namshukuru Mwenyezi Mungu nipo poa kabisa Mkuu vipi wewe?
Hapa niko na amani sana 🙏
Happy Easter Dear
Hello Dear Coco, habari za siku mingi.?
Ahsante nikutakie weekend njema pia BAK.Enjoy your long weekend Mkuu.
Hawa wana majibu jamani. Kuna sehemu wamejibu kimeumana
Niko sawa TH! Nmekumiss sana .. Send me a huge hug tafadhriHello Dear Coco, habari za siku mingi.?
Wajionaje na hali.?
Hahahah, kama kawaida ya binadamu kila anapopatwa na janga huwa anawaza namna ya kupata unafuu.
Katika harakati zangu za kusaka unafuu nikakutana na chimbo la bando za Aitel za chuo zenye gharama nafuu.
Maisha kusaidiana ,hapa nawawekea procedures mpya za kujiunga na bando hizo.
BOFYA *148*60# KISHA NO 3 ALAFU NENDA NO 7.
Thank me later.