The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
🤗🤗🤗🤗🤗 Miss you more...Nafarijika kuona u mzima.!Niko sawa TH! Nmekumiss sana .. Send me a huge hug tafadhri
🤗🤗🤗🤗🤗 Miss you more...Nafarijika kuona u mzima.!Niko sawa TH! Nmekumiss sana .. Send me a huge hug tafadhri
Happy Easter Dear
Really? sasa mimi ni yupi kati ya hao😀
Ahsante Sana VE wake sisy, kwahiyo leo mpaka kukuche.?😊Ahsante sana mrembo nakutakia nawe na your loved ones a great and wonderful Easter. Niko mguu juu najirusha tu leo😂
Wewe ndio huyo uliyejikausha kama hutaki hugs😀Really? sasa mimi ni yupi kati ya hao😀
Ahsante Sana VE wake sisy, kwahiyo leo mpaka kukuche.?😊
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hawa wana majibu jamani. Kuna sehemu wamejibu kimeumana
How lovely😘Wewe ndio huyo uliyejikausha kama hutaki hugs😀
Haha aka kanyimbo nakapenda kama sikapendi, kananikoshaga
Oh yeah..!How lovely😘
Nyingine hii imetulia sana sema video yake sijaipenda.
😂😂 dah, haya dear Jipe rahaHahahahaha leo breakfast ilikuwa saa saba. Huko kwenye luninga kuna ratiba poa sana na kuna movie Godzilla and King Kong trailer yake inavutia hivyo naweza nikaipitishia macho. Wangetuongezea weekend kila baada ya siku ya masaa 48 tupate kaweekend 😂😂😂😂🤣
Kwakweli sibonyezi kitufe cha kuview sio kwa bando hili la ndungulile, ntangoja clouds wauweke😏
Ahsante sana TH! Nakutakia Easter njema pia kwako.Oh yeah..!
Enjoy Easter Coco😘