Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji120][emoji120][emoji120]
Na kwako pia; na Kabula wangu na vipwa vyangu. Fanikiweni sana! Barikiweni sana! Hebu mkono wa Bwana na ukawe nanyi katika mapito yenu yote na vizazi vyenu vijavyo. Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji120][emoji120][emoji120]
Heri ya Pasaka shemeji.
Damu ya Yesu izidi kutenda katika njia uipitayo
Na kwako pia Esta na familia yako. Amefufuka [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Happy easter
Amen [emoji120][emoji120]Na kwako pia; na Kabula wangu na vipwa vyangu. Fanikiweni sana! Barikiweni sana! Hebu mkono wa Bwana na ukawe nanyi katika mapito yenu yote na vizazi vyenu vijavyo. Amen [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Ankoo [emoji137][emoji137]I miss y'all[emoji7][emoji7]
[emoji120][emoji120][emoji120]I miss y'all[emoji7][emoji7]
Address Pls!