Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera sana VE kwa kuwa na discipline ya hali ya juu. Mimi napenda nilale saa tatu za usiku na kuamka 5:45am siku za kazi lakini distraction za news na mazagazaga mengne kwenye TV na nje ya TV najikuta nalala 10:30pm to 11:00pm na siku nikichelewa sana (but very few days) hata 12:00am oh! Poor me! Lakini weekend ni mwendo wa kujirusha hadi tisa usiku mpaka 11 alfajiri.
Ilikuwa bado VE nalalaga saa 4 😀😀
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…