BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
[emoji120][emoji120]Jioni iwe njema na ya amani
AiseeHukimbia umbali wa kilomita 153 kwa saa anasaidiwa na urefu wa mabawa yake ukioanisha na uzito wa mwili wa ndege yoyote. Ndege hawa wana uwezo wa kukaa angani kwa zaidi ya wiki moja.
Ingefaa hii iwafikie DG wa TCRA, ndugulile na mh. Bi MkubwaNchi zinazoongoza kwa kuwa na gharama ndogo zaidi ya kifurushi cha Data (Intaneti), Wastani wa gharama kupata Gb 1 tu;
1. India - Tzs 208/=
2. Israel - Tzs 255/=
3. Kyrgyzstan - Tzs 486/=
4. Italy - Tzs 997/=
5. Ukraine - Tzs 1,066/=
Duh.. wana matatizo hawaNchi zinazoongoza kwa kuwa na gharama kubwa zaidi ya kifurushi cha Data (Intaneti), Wastani wa gharama kupata Gb 1 tu;
1. Malawi - Tzs 63,569/=
2. Benin - Tzs 63,127/=
3. Chad - Tzs 54,103/=
4. Yemen - Tzs 37,057/=
5. Botswana - Tzs 32,164/=
Chanzo: Visual Capitalist
Weweeeeee.....
Weweeeeee.....
Natamani watuletee ya indiaIngefaa hii iwafikie DG wa TCRA, ndugulile na mh. Bi Mkubwa