Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

If you died tonight, your employer would advertise to fill your job role by the end of the month. But your loved ones, chosen family and friends, would miss you forever. Don’t get too busy making a living that you forget to work on making a life.
 
Ezra 6:3
Isiah pia alitabiri habari ya kuzaliwa kwa huyu mfalme, masihi wa BwanaKoreshi!
 
Kumbukumbu la Torati 5:9
Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu, nawapatiliza wana uovu wa baba zao; hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao,
Hii pia una ipata ktk kitabu cha Kutoka 20, ni moja ya amri ya Mungu kati ya zile 10 alizomkabidhi Mussa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…