Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siku moja ya mwisho regacy ya jiwe over View attachment 1744560
Legacy ya Jiwe (mbaya au nzuri) haiwezi kuwa over. Angalau subiri vitabu vya historia ya nchi yetu vitakapoandikwa ndiyo utajua. Sasa hivi ni wapigania matumbo yao tu, wanaharakati wetu uchwara na wanafiki ndiyo wanaohangaika. Na hakuna sarafu yenye upande mmoja tu kwa sababu uwili - kinzani (+ na -) ndiyo kanuni ya jumla inayoendesha ulimwengu wetu. Kuweni na subira !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…