BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Sijawahi kumsikia huyu bila ya shaka aliishi Tanzania na hii ngoma iko vizuri. Ahsante sana Mkuu 🙏🏾
Huyu Jasusi ni kifo pekee kitakacho mtenganisha na urais.Demokrasia...
View attachment 1745287
Itatimia.Ndoto
Itatimia.
Naamini Katiba iliyo chakachuliwa itkuja kupigiwa kura
Rasimu ya Katiba ya Warioba imepunguzwa ladha,Hakuna katiba iliyochakachuliwa hata kidogo bali tuna copy and paste constitution
Rasimu ya Katiba ya Warioba imepunguzwa ladha,
Naangalia TBC 1 baada ya Miaka mingi