Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Boanthropy ni tatizo la kisaikolojia linalomfanya muathirika ajihisi ni ng'ombe. Hali hiyo inapelekea aanze kufanya vitu kama wafanyavyo ng'ombe.
Kula majani, kutembea kwa miguu minne, kulia kama ng'ombe n.k. Mfano: Mfalme Nebukadreza (Danieli 4:32-33) (ResearchGate)
 
Tanzania: Kwa mujibu wa sheria ya mtoto ya mwaka 2008: Pale baba anaponyonya maziwa ya mke anayenyonyesha ni kitendo kinachokatili afya na maendeleo ya akili ya mtoto na ni kosa kisheria.

Adhabu: Faini milioni 5 au kifungo jela miezi 6 au vyote.

Chanzo: avis legal
 
Ndevu humfanya mtu kuwa na afya nzuri zaidi. Tafiti zinaonesha kuwa ndevu husaidia kujikinga na maradhi mbalimbali kama Kujikinga na mzio (Allergy), Pumu, Muwasho pamoja na Vipele. Pia husaidia kulinda ngozi yako dhidi ya jua kali.
 
IMG-20210407-WA0009.jpg
 
Back
Top Bottom