antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,723
- 134,757
Duh..
Je, wanaruhusu wagenu kuingia na kuoa huko?!Nchini Brunei Wananchi hawalipi kodi kabisa. Ukikamatwa unaiba Unakatwa mikono, Ukikutwa unazini Na unajihusisha na Ushoga Unapigwa na mawe mpaka kufa. Uki Oa Tu unapewa gari.
Je, wanaruhusu wagenu kuingia na kuoa huko?!
πππTanzania: Kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1971, Mke anaruhusiwa kisheria kukopa fedha kwa jina la mume wake kwa lengo la kujikimu yeye au familia yake na mume husika atawajibika kulipa mkopo huo.
Chanzo: Avis Legal
Kupata Visa kuingia huko ni tatizo zaidi kuliko kupa huyo mchumba.Je, wanaruhusu wagenu kuingia na kuoa huko?!