Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kaburi lajengwa kwa miezi tisa

Katikati mwa Tanzania katika eneo la Hydom kuna jamii ya Barbaik ambayo hufanya mazishi ya heshima kwa wazee ambao mchango wao kwa jamii umetambulika.

Kinachofanyika ni kwamba mwili huzikwa ukiwa umeketi baada ya kufunikwa kwa ngozi ya ng'ombe.

Kaburi la Wazee hao ni la duara na linajengwa kwa miezi tisa kipindi hicho kinaashiriia muda wa miezi tisa ambacho ndio kipindi anachobeba mimba mwanaume.

Wanaamini kwamba mtu kama huyo hajafa bali atazaliwa tena .

Mazishi yenyewe hayafanyiki kwa kila mtu bali jamii na wazee wanaamua ni mtu yupi anayestahili kupewa maziko hayo ya heshima.
Aisee.....
 
Back
Top Bottom