Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anko andjul connection hii mie naogopa kuota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila moudy sijui hio familia ilipatwa na nini mpaka kufanya hicho kitendo daah
Nimeenda uliko nituma nikakuta chanzo ni gazeti nikaishiwa nguvu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mzee wa pwani chonde chonde usicheleweshe nataka niithaminishe ya ugizani,hasa hasa ya mama mkwe
 
Anko andjul connection hii mie naogopa kuota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila moudy sijui hio familia ilipatwa na nini mpaka kufanya hicho kitendo daah
Kwenye kijiji palipotokea hilo tukio Kuna jamaa zangu wakulima wa mpunga
Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Wilaya ya Morogoro vijijini.
Kwenye kijiji hicho Waziri wa zamani wa mifugo na uvuvi mh Luhwaga Mpina amewekeza kwenye kilimo cha mpunga.
Kwahiyo kijiji hicho kina Wasukuma wengi ambao ni vibarua wa Mpina na wengine wengi wamepata ukaazi kama wanakijiji.
Taarifa ipo hivi:
Mkulima mmoja wa kisukuma kijijini hapo, asubuhi ya april 4 na 5 mwaka huu alikuta shambani kwake mpunga umekatwa.
Lakini alipofanya uchunguzi hakuona nyayo za mnyama wala binadamu, hivyo alihusisha tukio hilo na imani za Kiafrika.
Jioni ya april 6 ailifanya alichofanya, kesho yake mapema asubuhi walikutwa watu hao hapo shambani wanalanda landa wakizunguuka shamba wakiwa uchi wa mnyama.
Mwenye shamba na baadhi ya wananchi wakaenda polisi kutoa taarifa, polisi hawakutoa ushirikiano kwa hoja kuwa tukio hilo lina uhusiano na ushirikina na serikali haiamini kwenye ushirikina.
Msukuma akaamua kuwapa adhabu ya kutembea mitaani uchi wa mnyama.
Tukio hilo lilivuta watu wengi, maana hapo Mvuha ni Kimji kilicho katikati ya maeneo hayo.
Natamani nitupie picha lakini hazina maadili.
 
Lakini si nimekuomba utupie upande wa pili mkuu? Silali leo ujue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…