Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
AiseeWanasaikolojia wamedai tabia ya kujipiga picha mwenyewe (selfie) na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii ni ugonjwa wa akili ujulikanao kitaalamu 'Selfitis' & mgonjwa wa tatizo hili hugunduliwa kwa kuhesabu picha zake kwa siku ambapo kuanzia picha 3 ujue una tatizo
🤣🤣🤣Sema sema afanye jambo ndugu KicheereView attachment 1748744
Aisee"Maneno haya nisingeyasema sasa ningeonekana muongo, mnafiki na kwamba nimetumwa.
Muyameze tu maana hakuna namna"View attachment 1748745