moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kodi zetu[emoji26][emoji26]Hela za kupigwa mlizitoa wapi? Shwaini zenu laleni mberee na Kigwangala na Ndugai sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kodi zetu[emoji26][emoji26]Hela za kupigwa mlizitoa wapi? Shwaini zenu laleni mberee na Kigwangala na Ndugai sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kigwangala atatutambuaHela za kupigwa mlizitoa wapi? Shwaini zenu laleni mberee na Kigwangala na Ndugai sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Dogo kajiandaa sana kimaisha. Siasa inalipa kuliko taaluma aiseeKigwangala atatutambua
Safii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji137]
Habari ya siku nyingi mkuuView attachment 1748509
Kweli kabisa..Kigwangala atatutambua
Tuliambiwa waandishi wa habari wana vidomo domo, wakabinywa.
Kumbe hakuna lolote, Tumepigwa tumepigwa tukapigwa pigwa pigwa mpaka baasi.
Hakuna awamu ya kudumu, kila awamu itapita tu, haijalishi itadumu kwa miaka mingapi, lazima ipite ili nyingine ichukue nafasiNakazia Tumepigwa tukapigika.
Ila natumaini awamu ya 7. Itakuwa ipo okay