mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Kigwa jela tu ndio nyumbani kwakeWengi wanasubiria hasa kwa kigwa
Plus vituo vya Mafuta Dom ,kongwa, MpwapwaView attachment 1747874
Yetu macho. Vita ni Vita Mura
*******************************
Gharama za matibabu ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, nchini India kwa kipindi cha miezi mitano kufuru!
Kwa uchambuzi wa ripoti ya CAG, Bw. Job Ndugai alikaa India kwa miezi mitano, sawa na siku 150. Kwa siku moja alilipwa posho ya dola 500 sawa na Sh. 1,160,100.00, na hivyo kwa miezi mitano alilipwa dola 75,000 sawa na Sh. 174,015,000.00.
Akiwa India alikuwa na wasaidizi wawili – maana alihamishia ofisi yake huko huko hotelini. Kwa gharama ya dola 450 sawa na Sh. 1,044,090.00 kila moja kwa siku, walilipwa dola 900 sawa na Sh. 2,088,180.00 kwa siku. Kwa siku 150 walizokaa India, walilipwa dola 135,000 sawa na Sh. 292,950,000.
Kwa ujumla, matibabu ya Ndugai kwa miezi mitano huko India yalitumia posho za sh. 466,965,000. na hapo bado gharama za hospitali huko India, na tiketi za ndege kwa watu wote hao, na bado gharama alizokuwa anatumia mkewe.
Takwimu hizi zilikuwa ni kwa mujibu wa ukaguzi wa CAG katika Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika hospitali za India.
Wakati huo huo tusisahau kuwa Bw. Job Ndugai aliendelea kupata mshahara wake na posho zake kama Spika wa Bunge ambazo idadi yake naomba kama kuna watu humu wanazijua watusaidie kuzitoa.
Hakuna anayejua kwa uhakika Bw. Job Ndugai alikuwa anaumwa ugonjwa gani uliosababisha hadi ofisi yake ihamishiwe 5-star hotel nchini India ambako alichukua VIP suite nzima. Mpaka sasa gharama za matibabu yake ni siri kama ulivyo ugonjwa wake.
Ana apartments 78 dodoma, hivi CAG huku hafiki??
AiseeKwenye kijiji palipotokea hilo tukio Kuna jamaa zangu wakulima wa mpunga
Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Wilaya ya Morogoro vijijini.
Kwenye kijiji hicho Waziri wa zamani wa mifugo na uvuvi mh Luhwaga Mpina amewekeza kwenye kilimo cha mpunga.
Kwahiyo kijiji hicho kina Wasukuma wengi ambao ni vibarua wa Mpina na wengine wengi wamepata ukaazi kama wanakijiji.
Taarifa ipo hivi:
Mkulima mmoja wa kisukuma kijijini hapo, asubuhi ya april 4 na 5 mwaka huu alikuta shambani kwake mpunga umekatwa.
Lakini alipofanya uchunguzi hakuona nyayo za mnyama wala binadamu, hivyo alihusisha tukio hilo na imani za Kiafrika.
Jioni ya april 6 ailifanya alichofanya, kesho yake mapema asubuhi walikutwa watu hao hapo shambani wanalanda landa wakizunguuka shamba wakiwa uchi wa mnyama.
Mwenye shamba na baadhi ya wananchi wakaenda polisi kutoa taarifa, polisi hawakutoa ushirikiano kwa hoja kuwa tukio hilo lina uhusiano na ushirikina na serikali haiamini kwenye ushirikina.
Msukuma akaamua kuwapa adhabu ya kutembea mitaani uchi wa mnyama.
Tukio hilo lilivuta watu wengi, maana hapo Mvuha ni Kimji kilicho katikati ya maeneo hayo.
Natamani nitupie picha lakini hazina maadili.
Mkuu Nami sipo Nyuma kwenye fani hii embu nitumie kidogo ngoma mbili za SWV na ngoma mbili za Naughty by Nature[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu 2025/2026? Hahahahaha
My princess UpoBe grateful for the good times and keep the faith during the bad times. Stay positive when life gives you every reason to be negative.
. Mwambieni CAG sisi tumewahi kuibiwa Twiga mzima akabebwa na shingo yake akaondoka zake. Hii nchi tunaibiana na Wanyama yeye anahangaika na vipesa vidogo vidogo vya matengenezo ya ATCL. Mwambieni wakati tukiibiana TWIGA upatikanaji wa maji Vijijini ulikua ni asilimia 47 na sasa kwa wizi na hasara za JPM upatikanaji wa Maji vijijini umefikia asilimia 70.1 huku mijini upatikanaji ukitoka asilimia 74 hadi 84. Ni mtu mjinga pekee anaweza kuchukizwa na wizi wa JPM, mwambieni CAG sisi tumeridhika tunatamani angekuwepo aibe tena. Hatutakagi ujinga!!
Aisee. Mwambieni CAG sisi tumewahi kuibiwa Twiga mzima akabebwa na shingo yake akaondoka zake. Hii nchi tunaibiana na Wanyama yeye anahangaika na vipesa vidogo vidogo vya matengenezo ya ATCL. Mwambieni wakati tukiibiana TWIGA upatikanaji wa maji Vijijini ulikua ni asilimia 47 na sasa kwa wizi na hasara za JPM upatikanaji wa Maji vijijini umefikia asilimia 70.1 huku mijini upatikanaji ukitoka asilimia 74 hadi 84. Ni mtu mjinga pekee anaweza kuchukizwa na wizi wa JPM, mwambieni CAG sisi tumeridhika tunatamani angekuwepo aibe tena. Hatutakagi ujinga!!
9. Mwambieni CAG kuwa tumeibiwa sana nchi hii. Wakati wote tuliibiwa huku Nchi ikiwa haina Ndege hai hata moja. Mwambieni leo tuna Ndege 11 za kwetu wenyewe. Hizo hasara za ATCL zisimuumize kichwa, hakuna biashara isiyo na hasara, JPM keshawawekea mtaji na heshima ni wajibu wao kutafuta akili za kupata faida sio kuua mtaji. Mwambieni CAG, sisi tunampenda mwizi anayeiba halafu akanunua Ndege kwa ajili ya Nchi nzima, akajenga reli ya kasi, stend kibao za kisasa, masoko kwa ajili ya biashara nk. Kwakweli sisi tumeridhika sana na wizi huu!! Mungu amlaze mahala pema JPM, ametutoa tongotongo!!
10. Mwambieni CAG asipoteze nguvu zake bure kwa sababu hata hao wezi huwa hawafanywi kitu. Mwambieni tumezoea na zaidi tumeridhika na wizi au hasara za JPM. Mwambieni CAG nchi hii imeongozwa na wezi wengi lakini huyu alikua ni mwizi wa heshima. Tunampenda, tutammiss hivyohivyo na yeyote mwenye kumchafua atachafuka kwanza yeye. Tutakua Taifa la kijimga sana kuacha ALAMA za mtu huyu zifutwe na watu wajinga, wavivu
wasio na lolote walioachiwa Nchi wasiongoze wakihangaika na umbea, udaku na ushambenga.
Kwa taarifa yenu #SISI TUMERIDHIKA HATA ANGEIBA NCHI YOTE AIUZE!! Tuna macho ya kuona, tusichoshane.
#TutakukumbukaDaimaJPM.
MenukaJr,
Da'slam-Tanzania.
Sawasawa..Ndiyo maana tunapenda sana serikali yetu iendeshe mambo kwa uwazi.
Naamini kabisa waandishi wangekuwa huru kufanya kazi zao chini mh Mwendazake tuongeona mabaya ya kutosha kama zilivyo sifa za kutosha.
Usiri Serikalini ni sehemu ya udanganyifu.
Hata hivyo sina tatizo na matibabu ya spika, shida yetu ni kitendo chake cha kuhamishia ofisi ya spika nchini India.