Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ulaji wa ndizi husaidia afya ya figo, potasiamu iliyomo katika ndizi husaidia mzunguko mzuri wa damu. Watu wanaokula ndizi mara 4 hadi 6 kwa wiki hujiepusha na matatizo ya FIGO kwa 50% kuliko wale wasiokula kabisa tunda hilo
 
Vyakula muhimu kwa ukuaji na maendeleo bora ya ubongo wa mtoto:- protini eg mayai, madini ya zinki eg samaki, madini ya chuma eg maharage, iodini eg chumvi, asidi zenye mafuta eg mafuta ya samaki na vitamini mbalimbali kutoka kwenye mboga za majani & maziwa.
 
Vyakula muhimu kwa ukuaji na maendeleo bora ya ubongo wa mtoto:- protini eg mayai, madini ya zinki eg samaki, madini ya chuma eg maharage, iodini eg chumvi, asidi zenye mafuta eg mafuta ya samaki na vitamini mbalimbali kutoka kwenye mboga za majani & maziwa.
 
Wataalamu wa mazoezi wanashauri mtu kutambua kama uwiano wa kimo na uzito wake (body mass index) vinaendana kiafya kabla ya kufanya mazoezi ya kukata tumbo (flat belly) ili kuwa na muonekano mzuri
 
Wataalamu wa lishe wamedai unaweza kupunguza uzito/unene kwa kula mboga za majani na matunda kwa wingi na protini kidogo. Wamedai mboga za majani huimarisha mwili na kuongeza stamina
 
Wajawazito wanaojiandaa mapema kwa kununua baadhi ya vitu atakavyotumia mtoto mtarajiwa huwa katika amani ya akili na moyo kitu kinachochea ukuaji mzuri wa mtoto.
 
Watafiti wamedai kutumia muda kwenye mazingira ya asili husaidia kupunguza shinikizo la damu, hutoa nafuu kwa maradhi ya njia ya hewa na moyo. Pia, huboresha hali (mood) ya mtu & kumfanya mbunifu kwa kuwa ubongo unakuwa umeburudika.
 
Kula mlo kamili na kufanya mazoezi husaidia mwili kutonenepa kupita kiasi. Unene kupita kiasi huhusishwa na hatari ya kupata maradhi kama Kisukari, Kupanda kwa Shinikizo la Damu, Magonjwa ya Moyo, Saratani n.k.
 
Msongo wa Mawazo huwapata watu wa rika na jinsia zote ingawa vijana waliobalehe, wazee na wajane wapo katika hatari zaidi. Mwenye Msongo wa Mawazo huwa na hisia hasi ambazo huathiri utendaji wa mwili wake
 
UTAFITI: Wanaume kufanya mazoezi huboresha mbegu za kiume na kufanya ziongeze uwezo wa kusababisha mimba. Vitu vingine vinavyopendekezwa ni kula mlo kamili, kuwa na uzito unaoendana na kimo chako kiafya n.k
[emoji125][emoji125][emoji441]chomeka aah chomoa aah...pale kati katiii [emoji444][emoji445][emoji443][emoji445][emoji444][emoji443]
 
Vitunguu swaumu (garlic) vina kemikali aina ya allicin ambayo huongeza mzunguko wa damu kwenda kwenye uume, kuongeza hamu ya kujamiana & utowaji wa shahawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wanasiasa wamejaa takataka kichwani mwao. Magufuli alikuwa sahihi kutowahusisha mambo mengi ya maendeleo
Mkuu nakusabahi
IMG_20210410_135853.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kinachonisikitisha ni kwamba (hata kama yote yaliyotajwa na CAG ni ya kweli), tunachomokaje katika utamaduni huu wa kuiba mali ya umma namna hii? Enough is enough jamani! Japo mjadala umejikita kwenye kumponda mwendazake (kitu ambacho hakitusaidii sana japo nadhani pengine ndiyo lengo kuu), hakuna popote tunapojaribu kuja na masuluhisho ya maana. Miaka nenda miaka rudi ufisadi uko pale pale tu. Kwa hali iliyopo sasa, hata aje nani kutuongoza ulaji utaendelea tu kwa sababu inavyoonekana wakwapuaji hawa hawaogopi. Hawaogopi kutumbuliwa. Hawaogopi vifungo. Yaani hawaogopi! Na hata tukipata rais mwadilifu kabisa kabisa (kama alivyokuwa Nyerere) upigaji utaendelea tu kwa sababu rais hawezi kuwa mahali pote kama watendaji wake ni wabovu - na jamii inawategemea kuwa wabovu. Wezi!

Madudu hayo yameanikwa. Unafikiri waliotajwa watafanywa nini? Hakuna kitu. Zitakuja siasa ndeefuu mpaka umma unasahau na miaka nenda miaka rudi tuko pale pale tu.

Going forward, tufanye nini ili angalau tujaribu kupunguza wizi huu wa mali ya umma? Ingefurahisha sana kama mjadala ungejikita kwenye kujibu swali hili muhimu. Tunaweza kweli tukafanikiwa kufuta legacy ya mwenda zake na tukafurahi sana na kupiga vigelegele, then what? Mwaka ujao, na ujao tena na ujao mambo ni yale yale na hata zaidi.

Kama jamii, we have to think out of the box. Rwanda kule nasikia ukifisadika mali zako zote zinataifishwa. Unafungwa. Na kama wazazi wako na ukoo wenu wote mnaambiwa kabisa kuwa litoto lenu ni lifisadi. Na kama kuna mali mlifaidika na litoto lenu hilo fisadi zinataifishwa pia. Kufisadika ni kuleta aibu kwa ukoo mzima. Na jamii imeanza kubadili fikra na kuanza kuchukia ufisadi. Hivyo mtu akitaka kuiba inabidi afikiri mara mbilimbili. Na matokeo yake ufisadi umepungua sana.

Huku kwetu bado ufisadi ni sifa. Iba sana. Jenga majumba hata 100. Hutafanywa cho chote. Badala yake utasifiwa na kuitwa mjanja mtoto wa mjini. Ukiwa mwadilifu kabisa kabisa ukaja kuyaachia madaraka hujatajirika hata jamii yenyewe haitakuelewa. Utachekwa kama ambavyo Mzee Mangula huwa anachekwa. Au Nyerere na watoto wake wanaoishi maisha ya kawaida tu. Utawezaje kuutokomeza ufisadi katika mazingira haya na jamii ya aina hii?

Acha leo tushangilie sana. Na mwaka kesho ni yale yale (na hata zaidi)...na maisha yanaendelea....


View attachment 1747766
Bunge ni dhaifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CAG amesema lo lote kuhusu hesabu za ofisi ya Makamu wa rais na Wizara ya Fedha? Au zenyewe ni ofisi mbili pekee ambazo zilikuwa na watumishi waaminifu kabisa kabisa? Mambo ya nchi hii yanafurahisha sana! [emoji16][emoji16][emoji16]
Ofisi ya VP ina wizara moja tu Muungano na Mazingira hakuna upigaji pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom