myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Na wakapata malipo yao..Hatari sana duh kumbe walimfanyia umafia mwenye mpunga wake
Na wakapata malipo yao..Hatari sana duh kumbe walimfanyia umafia mwenye mpunga wake
Duh..Kuangalia simu janja kwa muda mrefu hupunguza kiwango cha kukonyeza na kusababisha jicho kukaza kidigitali (digital eye strain) na kuacha macho yakiwasha, makavu na kuona mawenge.
🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji137]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji137]
Habari ya siku nyingi mkuuView attachment 1748509
Tutaweka pingu kwenye kaburi la Mwendazake. Mwambieni CAG sisi tumewahi kuibiwa Twiga mzima akabebwa na shingo yake akaondoka zake. Hii nchi tunaibiana na Wanyama yeye anahangaika na vipesa vidogo vidogo vya matengenezo ya ATCL. Mwambieni wakati tukiibiana TWIGA upatikanaji wa maji Vijijini ulikua ni asilimia 47 na sasa kwa wizi na hasara za JPM upatikanaji wa Maji vijijini umefikia asilimia 70.1 huku mijini upatikanaji ukitoka asilimia 74 hadi 84. Ni mtu mjinga pekee anaweza kuchukizwa na wizi wa JPM, mwambieni CAG sisi tumeridhika tunatamani angekuwepo aibe tena. Hatutakagi ujinga!!
9. Mwambieni CAG kuwa tumeibiwa sana nchi hii. Wakati wote tuliibiwa huku Nchi ikiwa haina Ndege hai hata moja. Mwambieni leo tuna Ndege 11 za kwetu wenyewe. Hizo hasara za ATCL zisimuumize kichwa, hakuna biashara isiyo na hasara, JPM keshawawekea mtaji na heshima ni wajibu wao kutafuta akili za kupata faida sio kuua mtaji. Mwambieni CAG, sisi tunampenda mwizi anayeiba halafu akanunua Ndege kwa ajili ya Nchi nzima, akajenga reli ya kasi, stend kibao za kisasa, masoko kwa ajili ya biashara nk. Kwakweli sisi tumeridhika sana na wizi huu!! Mungu amlaze mahala pema JPM, ametutoa tongotongo!!
10. Mwambieni CAG asipoteze nguvu zake bure kwa sababu hata hao wezi huwa hawafanywi kitu. Mwambieni tumezoea na zaidi tumeridhika na wizi au hasara za JPM. Mwambieni CAG nchi hii imeongozwa na wezi wengi lakini huyu alikua ni mwizi wa heshima. Tunampenda, tutammiss hivyohivyo na yeyote mwenye kumchafua atachafuka kwanza yeye. Tutakua Taifa la kijimga sana kuacha ALAMA za mtu huyu zifutwe na watu wajinga, wavivu
wasio na lolote walioachiwa Nchi wasiongoze wakihangaika na umbea, udaku na ushambenga.
Kwa taarifa yenu #SISI TUMERIDHIKA HATA ANGEIBA NCHI YOTE AIUZE!! Tuna macho ya kuona, tusichoshane.
#TutakukumbukaDaimaJPM.
MenukaJr,
Da'slam-Tanzania.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]salama mkuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji137]
Habari ya siku nyingi mkuuView attachment 1748509
Ana visa huyu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
>Tuliambiwa waandishi wa habari wana vidomo domo, wakabinywa.
Kumbe hakuna lolote, Tumepigwa tumepigwa tukapigwa pigwa pigwa mpaka baasi.Tukaambiwa vyama vya upinzani vinarudisha nyuma maendeleo, vikabinywa
Tukaambiwa kuonyesha bunge mubashara ni matumizi mabaya ya raslimali, likafunikwa
Tukaambiwa CAG Mussa Asad amelikashfu bunge akiwa nje ya nchi, akatimuliwa
Tukaambiwa sasa ufisadi .umethibitiwa kila idara.
Hela za kupigwa mlizitoa wapi? Shwaini zenu laleni mberee na Kigwangala na Ndugai sasa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]>Tuliambiwa waandishi wa habari wana vidomo domo, wakabinywa.
Kumbe hakuna lolote, Tumepigwa tumepigwa tukapigwa pigwa pigwa mpaka baasi.
Mzee mwenzangu siku ile tumeongea hata siku mbili hazikupita dogo akanitoka.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji137][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Poleni wakulima wote, mvua zitumike ipasavyo...