Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndani ya dakika 20 baada kunywa soda, ini linaitikia kwa haraka na kubadili sukari yote iliyomo kwenye soda na kuifanya mafuta. Mafuta humfanya mtu anenepe na kuwa uzito kupita kiasi kitu kinachoathiri afya na kuharibu muonekano mzuri wa mtu.
 
Maji yana faida nyingi katika mwili ikiwa ni pamoja na kusaidia umeng'enyaji wa chakula, huboresha hali ya viungo na misuli, maji yanaweka ubongo katika hali nzuri zaidi ya ufanisi zaidi hivyo kunywa maji ya kutosha kunamuwezesha mtu kufikiria vyema zaidi
 
Pamoja ya kuwa tunajifungia majumbani lakini tuepuke pia kutofungua madirisha ili hewa izunguke itasaidia mfumo wa upumuaji kuwa mzuri. -> Dk. Joseph Mdachi
 
Umbrella can't stop the rain but can make us stand in rain. Confidence may not bring success but gives us power to face any challenge in life.
 
Dalili za Malaria huanza kuonekana siku 10-15 baada ya kung'atwa na mbu mwenye maambukizi. Dalili za mwanzo ni pamoja na homa, kichwa kuuma na kuhisi baridi. Ni vyema kupima kabla ya kuanza dawa kwa maana dalili hizi huwepo kwenye magonjwa mengine
 
Mwili unaweza kupatwa na sumu au takataka zisizohitajika na mwili kwa namna mbili, ama kupitia mazingira tunayoishi au kupitia vyakula na vinywaji ambavyo tunatumia kutia ndani dawa tunazomeza
 
Back
Top Bottom