Kusomea watoto wadogo vitabu husaidia ukuaji mzuri wa akili ya mtoto. Watafiti wamedai kusomea vitabu halisi huongeza umakini wa mtoto kuliko kumsomea kitabu kilicho kwenye kifaa cha kielektroniki kama simu janja
To be a leader is not to have a considerable position. To be a leader is to see your job as a chance to inspire the world, no matter what your situation
Sonona (depression) huathiri watu wa rika lolote kutia ndani watoto na vijana. Ikiwa unahisi huzuni kubwa au kuelemewa na maisha ni vyema kuzungumza na watu unaowaamini na waoweza kutegemeka. Kuzungumza ni hatua ya mwanzo kukabiliana na sonona
Kujinyoosha ni muhimu kwa misuli yenye nguvu, imara na inayoweza kujongea vizuri. Ili kuweza kuwa na viungo imara na tunahitaji kujinyoosha mara kwa mara. Tusipofanya hivyo tunaweza kusababisha misuli kusinyaa na kuwa migumu.
Watafiti nchini Japan wamegundua damu bandia inayoweza kutumiwa na mtu wa kundi lolote la damu na kuokoa maisha yake ikiwa atakuwa na upungufu mkubwa wa damu.
Kitanzi ni kifaa kidogo chenye umbo la T kilichotengenezwa kwa plastiki na kopa, huingizwa na mtaalamu kwenye uterasi/kizazi (ogani ambamo utungo wa mimba hupokelewa na kustawishwa). Kifaa hiki kinafanya kazi kwa kuzuia yai kurutubishwa na mbegu ya kiume (manii)
Kutofanyia kazi mawazo yetu wenyewe kwenye muda wetu wa mapumziko ndio sababu kuu inayofanya tuendelee kuwa watumwa wa watu wengine kwa kufanyia kazi mawazo yao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.