Muda ni kama pesa. Ukiutumia vibaya, hutakuwa nao utakapouhitaji. Kwa upande mwingine, ukipangia vizuri muda wako, utakuwa na akiba ya kufanya mambo unayopenda!
Kusoma vitabu kunakupa fursa ya kuchota maarifa kirahisi. Vitabu vina muhtasari wa waliyopitia wengine hadi kufikia walipo sasa baada ya kupitia changamoto mbalimbali.