Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1618194299190.jpeg
 
Kuna dada mmoja aliwahi sema, "Pale klabu ( night club) kile kibomba chao maji yanatoka kwa presha kali sana mpaka yananiumiza K yangu"
Nilicheka sana[emoji23][emoji23]
So, mnavyosema kinawapa burudani itabidi nikaulize tena[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
😂😂😂
 
Numbisa usidhani nimesahau jinsi ulivyoniingiza kwenye ngoma ya uzushi, ulinambia halotel wana kifurushi cha unlimited kwenye application yao. Jana nimekitafuta mpaka bando limekata sijaona hiyo offer.
Kilikuwepo siku hio nilikishuhudia ndo nikawaita kwa furaha,nikasema jioni nitaunga aiseee kumbe walishtuka wakakitoa niliingia hasara maana tayari nilishakwangua vocha. Nami nilikitafuta sana mpaka saa nane usiku nikidhan nimekosea njia
 
Back
Top Bottom