BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
😂😂😂Burudani za usiku zinaendelea...
😂😂😂Kuna dada mmoja aliwahi sema, "Pale klabu ( night club) kile kibomba chao maji yanatoka kwa presha kali sana mpaka yananiumiza K yangu"
Nilicheka sana[emoji23][emoji23]
So, mnavyosema kinawapa burudani itabidi nikaulize tena[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Aysee. Na mie nlikuwa sijauonaKumbe kuna uzi kama huu,
nilikuwa mbali sana na vyombo vya habari jamani.
Ngoja niupitie
Ugunduzi muhimu sana huu, kama utekelezaji wake hauleti 'side effects'Watafiti nchini Japan wamegundua damu bandia inayoweza kutumiwa na mtu wa kundi lolote la damu na kuokoa maisha yake ikiwa atakuwa na upungufu mkubwa wa damu.
Kilikuwepo siku hio nilikishuhudia ndo nikawaita kwa furaha,nikasema jioni nitaunga aiseee kumbe walishtuka wakakitoa niliingia hasara maana tayari nilishakwangua vocha. Nami nilikitafuta sana mpaka saa nane usiku nikidhan nimekosea njiaNumbisa usidhani nimesahau jinsi ulivyoniingiza kwenye ngoma ya uzushi, ulinambia halotel wana kifurushi cha unlimited kwenye application yao. Jana nimekitafuta mpaka bando limekata sijaona hiyo offer.
Njema, habari za huko uliko.Nzuri za kwako mpendwa
na wewe pia amani iwe juu yakoAsalaam Alyeikum