Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwenda kulala zaidi ya saa 6 usiku hupunga ubora wa usingizi, watafiti wamedai ubora wa masaa mawili baada ya saa 6 usiku ni sawa na saa 1 la kabla ya saa 6 usiku. Watu wanaolala zaidi ya saa 6 usiku wana hatari kubwa kupatwa na magonjwa yasiyoambukiza kama Kisukari n.k!
 
Kumekuwa na ongezeko kubwa la bidhaa kama juisi wanazodai kuwa na virutubisho (vitamini na madini) muhimu kwa afya ya binadamu. Watafiti wamedai virutubisho hasa vitamini vinavyopatikana kwenye vidonge havina ubora kama virutubisho vinavyopatika kwenye vyakula halis
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…