andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
[emoji3][emoji3][emoji3]Niamini Anko, nami nimesimuliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona inaonekana ni uzoefu wa anko andjul kabisa sio wa kusimuliwa
[emoji3][emoji3][emoji3]Niamini Anko, nami nimesimuliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona inaonekana ni uzoefu wa anko andjul kabisa sio wa kusimuliwa
😂😂😂😂😂😂Ngoja niamini kwa shingo upande[emoji3][emoji3][emoji3]Niamini Anko, nami nimesimuliwa
Mkuu, hapa ungeweka nyama ingependeza.. Wanafanyaje?Tafiti zinaonyesha matukio yanayotukia yanaweza kuleta athari chanya na hasi kwa ukuaji wa ubongo wa mtoto.Wanawake katika nchi zilizoendelea wanapata fursa ya kumkuza na kumtunza mtoto kabla hata hajazaliwa, tofauti na nchi zinazoendelea
😂😂😂
Ni wapi huko mkuu?
Asalam alykum jamiya
Mpendwa naamini mwaka huu unafuraha zaidiAleykhum Salaam