Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tafiti zinaonyesha matukio yanayotukia yanaweza kuleta athari chanya na hasi kwa ukuaji wa ubongo wa mtoto.Wanawake katika nchi zilizoendelea wanapata fursa ya kumkuza na kumtunza mtoto kabla hata hajazaliwa, tofauti na nchi zinazoendelea
 
Baadhi ya walimu wa michezo kukataza wachezaji wao kushiriki tendo la ndoa siku ya mchezo kwamba wachezaji hawatacheza vizuri. Utafiti umedai tendo la ndoa haliathiri uwezo wa mchezaji ila humpa utulivu na kuweza kufanya vizuri zaidi
Ukitaka safari yako iwe ya raha na isiyo chosha amka na kamoja asubuhi... Yaani nasema kamoja [emoji115]tu...
Gari utaendesha kwa umakini na kila wimbo utakao imbwa kwenye radio ya gari utauimba hata kama ni wa Kichina. Hata trafiki hautagombana nao wakikukamata, fulu tabasamu [emoji16][emoji16][emoji16]

#kamojatukwaafyayasafari
 
Ila ni jamaa yangu alinisimulia
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Anko bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…