Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kocha wa Tottenham Hotspur boss Jose Mourinho anapanga kumsajili kiungo wa Ubelgiji Marouane Fellaini, 33, ambaye pia alikuwa chini yake katika klabu ya Manchester United. Fellaini kwa sasa yupo na klabu ya Shandong Luneng ya Uchina toka Februari 2019 alipoihama United.
 
Mazungumzo baina ya klabu ya Juventus na mshambuliaji wake Paulo Dybala 27 - ambaye anahusishwa na mipango ya kutaka kuhamia Manchester United - bado hayajakamilika kutokana na hali ya kifedha ya klabu hiyo ya Turino, ameeleza mkurugenzi wa ufundi wa wa klabu hiyo Fabio Paratici. (Sky Italia, via Goal)
 
Dau la pauni milioni mbili kwenye mkataba wa mshambuliaji Edinson Cavani linaweza kuwa shubiri katika mipango ya mchezji huyo kuihama at Manchester United mwishoni mwa msimu. Cavani, 34, amekuwa akihusishwa na mipango ya kuhamia klabu ya Boca Juniors. (Mirror)
 
Sasa dae application umeifuta au unacheza tikisa ushinde?
dae hamiliki smartphone, nilichofanya nikuipakua kwenye simu ya mdogo wangu e ili kama nitakutana na hicho kifurushi cha unlimited nijiunge baadae laini niweke kwenye modem nipate kwa laptop.

nilichokihitaji sijakipata, kitakachofuata nikuitoa hiyo application
 
Nayatamani maisha ya bila smartphone ila sasa mazoea yana tabu bila kushika na kuperuzi siku inakua ngumu sana
 
1618260838528.jpeg
 
Back
Top Bottom