BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Ase, haya bhanaMabingwa wa Ufaransa klabu ya Paris St-Germain wamefanya mawasiliano na wawakilishi wa mshambualiaji nyota wa Liverpool Mohamed Salah, 28, ili kumsajili mchezaji huyo tegemezi pia wa timu ya taifa ya Misri. (Telefoot on Twitter - in French)
Asee, wivu, wivuMiamba ya soka nchini Ujerumani klabu ya Bayern Munich itajaribu kumsajili kocha wa Liverpool Jurgen Klopp mwishoni mwa msimu endapo kocha wao Hansi Flick ataenda kuitumikia timu ya Taifa ya Ujerumani. (90mins
Huenda akaisaidia spursKocha wa Tottenham Hotspur boss Jose Mourinho anapanga kumsajili kiungo wa Ubelgiji Marouane Fellaini, 33, ambaye pia alikuwa chini yake katika klabu ya Manchester United. Fellaini kwa sasa yupo na klabu ya Shandong Luneng ya Uchina toka Februari 2019 alipoihama United.