Ikiwa una ngozi kavu kuna uwezekano mkubwa wa kuwa mkavu ndani ya mwili pia, Usitumie losheni na krimu peke yake kufunika tatizo, badala yake jitahidi kunywa maji ya kutosha.
Ktk mambo ambayo yanamatokeo chanya na natija kibao ktk afya yako na maisha kwa ujumla ni kuwahi kuamka asubuhi na mapema. Lakini kutokana na ujinga kuchelewa kuamka kumekua ni ufahari na alama ya maisha mazuri.
1.husaidia kuzuia uwezekano wakupata ugonjwa wa kukosa kumbukumbu, na kuimarisha afya ya ubongo. haya yanatarajiwa Kwa mwenye Kulala ndani ya masaa muafaka na akaamka mapema.
3.kupata wasaa mkubwa wa kukamilisha majukumu yako ya kila siku, asubuhi ni kipengele muhimu sana ktk kuyaendea majukumu mbalimbali na kuzidisha ufanisi
5.husaidi kupanga ratiba makini na mathubuti ya mizunguko yako ya siku mzima na maisha Kwa ujumla, tafiti za hapa na pale zinaonesha kuwa asubuhi mapema ndio muda pekee ambao ubongo huwa na nguvu na uwezo Wa aina yake.
Klabu za Paris St-Germain, Real Madrid na Inter Milan zinamfuatilia winga Jesse Lingard tabla ya dirisha la usajili halijafunguliwa mwishoni mwa msimu. Lingard, 28, anang'ara kwa sasa ambapo anachezea klabu ya West Hamkwa mkopo akitokeaManchester United. (ESPN)external-link
Arsenal wangali na nia ya kumsajili mshambuliaji wa klabu ya Celtic Odsonne Edouard,23, lakini wanakabiliana na ushindani kutoka Leicester. (Telegraph - subscription required
Manchester United wanasita kuingia katika mazungumzo na klabu ya Borussia Dortmund ya usajili wa mshambuliaji raia wa Norway Erling Braut Haaland, 20, baada ya kushindwa kuafikiana bei nafuu kwa mchezaji mwengine wa timu hiyo, Jadon Sancho mwishoni mwa msimu uliopita. (The Athletic
Licha ya kushindikana kwa mazungumzo hayo, Manchester United hata hivyo hawajafunga milango juu ya uwezekano wa kumuwinda tena Sancho mwishoni mwa msimu huu. (Manchester Evening News)external-link
Manchester United wamehuisha nia yao ya kumsajilili kiungo wa Lazio Sergej Milinkovic-Savic, 26. Kiungo huyo pia anafuatiliwa na Real Madrid na PSG.(Gazzetta - in Italian)
Tottenham wanajiandaa kumsajili beki wa Bayern Munich Jerome Boateng, 32. Beki huyo wa kati ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu. (Sky Germany - in German)external-link
Tottenham wataelekeza nguvu katika kuimarisha safu yao ya ulinzi mwishoni mwa msimu, lakini itawapasa kwanza wawauze baadhi ya wachezaji wao ili kupata pesa za kusajili mabeki bora. (Mail)external-link
AC Milan wana nia ya kumsajili moja kwa moja beki wa kati Fikayo Tomori, 23, ambaye anaichezea klabu hiyo kwa mkopo akitokea Chelsea. (Corriere dello Sport, via Sport Witness)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.