Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1618311980144.jpg
 
Kuna nchi nyingi duniani siku hizi wala hawahangaiki kuutafuta mwezi bali wanatumia calendar na ziko very accurate mwaka hadi mwaka sisi bado tuko mwaka 47 na mwezi ni lazima uonekane Tanzania.
Mabingwa wa elimu ya Dini wamehitilafiana kuhusu jambo hilo kwahiyo itabakia hivyo tu.
Hilo halina tatizo.
 
Back
Top Bottom