Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna nchi nyingi duniani siku hizi wala hawahangaiki kuutafuta mwezi bali wanatumia calendar na ziko very accurate mwaka hadi mwaka sisi bado tuko mwaka 47 na mwezi ni lazima uonekane Tanzania.
Suala lankuonekana kwa mwezi ni la kiibada.
Mtume amesema "Fungeni mtakapouona mwezi, fungueni mtakapouona mwezi".
Ikiwa utafunga kwakuwa umesikia Senegal wameuona sawa,
Na mwingine akisema mpaka nione mwenyewe naye yupo sahihi.
Hakuna kuhitilafiana kwa wenye kufanya ibada
 
Poleni wakulima wote..
[emoji120][emoji120]
FB_IMG_1613105122656.jpg
 
Back
Top Bottom