Juventus wanampango wa kumsajili mshambuliaji wa Barcelona Ousmane Dembele, 23, mkataba wake utakapoisha 2022. (Mundo Deportivo - in Spanish)external-link
AC Milan wana nia ya kumsajili moja kwa moja beki wa kati Fikayo Tomori, 23, ambaye anaichezea klabu hiyo kwa mkopo akitokea Chelsea. (Corriere dello Sport, via Sport Witness)
Tottenham wataelekeza nguvu katika kuimarisha safu yao ya ulinzi mwishoni mwa msimu, lakini itawapasa kwanza wawauze baadhi ya wachezaji wao ili kupata pesa za kusajili mabeki bora. (Mail)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.