BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Noma mkuu. Hapa Sio pahala pake.Leta ushuhuda rafiki kuhusiana na burudani mzopitia kutokana na hicho kifaa[emoji23][emoji2089][emoji2089][emoji2089]View attachment 1749814
Nije wapi mkuu unipatie hizo hard news[emoji23][emoji23]Noma mkuu. Hapa Sio pahala pake.
Duuu, vibaya hivyo jamani![emoji849]
dae hamiliki smartphone, nilichofanya nikuipakua kwenye simu ya mdogo wangu e ili kama nitakutana na hicho kifurushi cha unlimited nijiunge baadae laini niweke kwenye modem nipate kwa laptop.Sasa dae application umeifuta au unacheza tikisa ushinde?
Nayatamani maisha ya bila smartphone ila sasa mazoea yana tabu bila kushika na kuperuzi siku inakua ngumu sanadae hamiliki smartphone, nilichofanya nikuipakua kwenye simu ya mdogo wangu e ili kama nitakutana na hicho kifurushi cha unlimited nijiunge baadae laini niweke kwenye modem nipate kwa laptop.
nilichokihitaji sijakipata, kitakachofuata nikuitoa hiyo application
ndio maisha ya kileo hayo na yana urahisi zaidi katika kuchakata taarifa unazozihitaji.Nayatamani maisha ya bila smartphone ila sasa mazoea yana tabu bila kushika na kuperuzi siku inakua ngumu sana