Wolves watatupa karata yao katika mbio za usajili wa mshambuliaji wa Benfica Carlos Vinicius, 26, mwishoni mwa msimu baada ya Tottenham kuamua kutompa mkataba mchezaji huyo ambaye yupo Spurs kwa mkopo. (TVI24 - in Portuguese)
Manchester United na Arsenal wanahusishwa na mpango wa kutaka kumsajili kiungo kinda wa klabu ya Rennes, Mfaransa Eduardo Camavinga, 18, amble ameamua kutoongeza mkataba na klabu yake ya sasa. (Marca)
Bayern wanamfikiria kocha Massimiliano Allegri kama mbadala wa Flick. Allegri hana timu toka alipoondoka Juventus mwaka 2019. (Sport Mediaset - in Italian)
Chelsea bado wangali katika mawindo ya beki wa Uruguay na Atletico Madrid Jose Maria Gimenez, 26, lakini chaguo lao la kwanza ni beki wa Sevilla Jules Kounde, 22. (La Razon - in Spanish)external-link
Chelsea bado wangali katika mawindo ya beki wa Uruguay na Atletico Madrid Jose Maria Gimenez, 26, lakini chaguo lao la kwanza ni beki wa Sevilla Jules Kounde, 22. (La Razon - in Spanish)external-link
Barcelona watatuma ofa ya kumsajili mshambuliaji wa Manchester City Sergio Aguero, 32, amble anaondoka klabuni halo mwishoni mwa msimu, lakini Barca hawataweza kufikia dau la mshahara lilitolewa na Juventus la Euro million 10 kwa msimu kwa mshambuliaji huyo. (Sport)
Manchester United wamehuisha nia yao ya kumsajilili kiungo wa Lazio Sergej Milinkovic-Savic, 26. Kiungo huyo pia anafuatiliwa na Real Madrid na PSG.(Gazzetta - in Italian
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.