Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati wa uhai wake, Maalim Seif alishirikiana vyema na Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi, na walichukuwa juhudi kubwa kuhakikisha kwamba suala la Masheikh wa Uamsho linapatiwa ufumbuzi. Na kwa kweli, juhudi zao zinaelekea kupata mafanikio. Nami nitaendelea kuungana na Rais Dkt. Mwinyi kuendeleza palipofikia". Alisema Makamu huyo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Mheshimiwa Othman ameongeza kwamba sifa za waja wema ni kusema ukweli na kutenda haki, ikiwa ni pamoja na kutimiza dhamana wanazokabidhiwa.
View attachment 1754096
[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Kwangu ni amana na dhamana, maana nafasi hii ya Umakamu wa Kwanza wa Rais niliyonayo, nimeachiwa na mtangulizi wangu, Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad. Kwa hivyo, nina dhamana ya kuhakikisha yale aliyoyaanza yeye katika kuwasaidia ndugu zetu hawa Masheikh wa Uamsho kupata haki yao, na mimi niendeleze katika hilo". Alisisitiza kwa waumini hao.

Vile vile, Makamu huyo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar amesema kuna haja kubwa ya kuwasaidia Masheikh wa Uamsho pamoja na familia zao, kwani ni muda mrefu sasa wapo mahabusu wakisubiri hatima ya kesi yao.
[emoji120][emoji120]
 
"Kipindi hiki cha Ramadhani tujitahidini kuwasaidia wenzetu wale ambao wana mahitaji. Na kwa mujibu wa sheria za nchi yetu, hakuna kosa kwa mtu kutoa msaada kwa Masheikh wale wa Uamsho au familia zao. Ni vyema sana kufanya hivyo kwa mwezi huu wa Ramadhani na hata baada, kwani katika jamii zetu wapo watu wengi wanaohitaji misaada kutoka kwetu", alinasihi makamu wa kwanza wa Rais

Sambamba na hilo, uongozi wa Masjid Maghfira umemuomba Makamu huyo wa Kwanza wa Rais kuwa mlezi wa msikiti huo, ombi ambalo Mheshimiwa Othman amelikubali.
View attachment 1754100
===============

furniture za msikiti[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji120][emoji120]
 
Nani kama mama?

Karibu shamra shamra zitaanza kupungua watakapotambua kuwa mifumo, ilani, serikali, katiba na chama bado ni vile vile...
Kunakuwaga na shangwe shangwe za muda, akishazoeleka mambo yanageuka.

Ila jamaa aliyepita naye duuu[emoji849][emoji849][emoji849]

Alitufanya tuishi kama digi digi wanaokimbia kimbia porini kuwakwepa chui, fisi, mbweha na Simba.
Maana mara wasiojulikana, mara kesi ya uchochezi, mara kesi ya kumkashfu rais.
Jamaa alikuwa mmmh.[emoji24][emoji24]
Halafu ukilalamika, hakuna anayekujali watu watakwambia "ulikuwa mpigaji wewe tulia ukione cha moto"[emoji849][emoji849]
 
!
20210411_223531.jpg


Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
...Alitufanya tuishi kama digi digi wanaokimbia kimbia porini kuwakwepa chui, fisi, mbweha na Simba.
Maana mara wasiojulikana, mara kesi ya uchochezi, mara kesi ya kumkashfu rais.
Jamaa alikuwa mmmh.
emoji24.png
emoji24.png

Halafu ukilalamika, hakuna anayekujali watu watakwambia "ulikuwa mpigaji wewe tulia ukione cha moto"
emoji849.png
emoji849.png
😂😂😂
Afu kuna watu wakawa wanasema atake asitake watamuongezea miaka ya kukalia kiti!!!
 
Nitaendeleza alipofikia Maalim Seif katika kuwasaidia Masheikh wa Uamsho - Mheshimiwa Othman Masoud
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mheshimiwa Othman Masoud Othman, ameelezea utayari wake wa kufanya kila awezalo, akishirikiana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, kuhakikisha kuwa Wazanzibari waliokamatwa na kupelekwa Tanzania Bara kushitakiwa kwa tuhuma za makosa yanayohusiana na ugaidi wanatendewa haki.
Kama walikamatwa na serikali iliyopita, na wao ni serikali, si wawatoe?!!!
 
Back
Top Bottom