Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nani kama mama? [emoji16][emoji16][emoji16]
2.553057177189184E18.jpg
 
Lakini kwa sababu ya athari ambayo amekuwa nayo kwenye maisha yangu, sikuwa nachukuwa taswira kwa kamera tu, bali pia kwa kuandika kuhusu yeye - ama iwe makala magazetini na mitandaoni au ushairi. Na hapo ndipo panapoingia sababu ya mimi kumzawadia diwani yangu ya N’na Kwetu ambayo ndani yake muna tungo zinazomuhusu ama moja kwa moja ama kwa njia isiyo ya moja kwa moja. Nilipokutana naye na kumkabidhi, hata hivyo, sikumuambia lipi ni lake. Natarajia alijuwa mwenyewe.
Nadhani umbali huu ndivyo ninavyoweza kuwa kama yeye, umbali wa kumuhifadhia taswira yake. Lakini sio kwenye ile taswira ya awali ya nguvu na alama ya nguvu halisi ambayo nilikuwa nayo utotoni, kijiji kwetu Pandani - Mchangani.
Allah amrahamu kipenzi chetu! Amin.
View attachment 1753649
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
TULIKOTOKA: Ujumbe wa Afro Shirazi Party (ASP) kwenye Mkutano wa Uhuru wa Zanzibar (Zanzibar Independence Conference) uliofanyika Lancaster House, London, mwezi Septemba 1963. Kutoka kushoto ni Hasnu Makame, Othman Shariff, Abeid Amani Karume, Aboud Jumbe na Abdalla Kassim Hanga.
===============
siasa haina rafiki wala adui wa kudumu, hao wawili walifanyiwa kitu mbaya sana na huyo bwana karume
View attachment 1753693
Mmhhh. Sio mchezo
 
Mi namkumbuka huyu, alituhumiwa kwa ugaidi, hususan zile rabsha za kushambuliwa mapadri na taasisi za kidini ( Kikristo) huko Zanzibar
Alituhumiwa kama mdunguaji aliemuua Padre Mushi maeneo ya Beitras Zanzibar.

Alikamatwa baada ya scratch ya mtu aliemdungua Padre kufanana na sura ya kwake.

Alienda kuchkuliwa maskani maeneo ya Michenzani.
 
Hahahahahahaha unaogopa tako kwani?
😂😂😂😂😂😂 Mwenyezi Mungu anajua umuhimu wake ndiyo sababu akaliumba au tungekaaje chini 😜😜 au kwa kuwa ni mwezi wa TOBA!?
Nikiona posts zako ulo attach picha nascrow down mbio mbio naogopa nisije kukutana na tako.

Mara dogo yupo pembeni ananiuliza 'mama huyo nani?' [emoji1787]
 
Hahahahahahaha unaogopa tako kwani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mwenyezi Mungu anajua umuhimu wake ndiyo sababu akaliumba au tungekaaje chini [emoji12][emoji12] au kwa kuwa ni mwezi wa TOBA!?
Kwa mwezi huu ni mtihani sheikh.

Leo nlikutana nalo moja umelipost nlitoka fasta na Astaghfirullah nyingi

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom