Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

...and why do you like what you like?
View attachment 1753674
๐›๐ž๐œ๐š๐ฎ๐ฌ๐ž ๐ญ๐ก๐ž๐ฒ ๐š๐ฅ๐ฐ๐š๐ฒ๐ฌ ๐ฅ๐จ๐จ๐ค ๐ฌ๐จ ๐ฏ๐ž๐ซ๐ฒ ๐ง๐ข๐œ๐ž ๐ญ๐ก๐ž๐ฒ ๐š๐ซ๐ž ๐ ๐จ๐จ๐ ๐ข๐ง ๐ฌ๐ž๐ฑ๐ฑ๐ฑ
 
kutoka maktaba: nimemuona ismail jussa
1618521608369.png


Demokrasia ya Vyama Vingi haikuja kirahisi rahisi. Ilipinganiwa na watu walipitia machungu na mateso ili Watanzania wapate haki za kisiasa. Ili kudhibiti Upinzani, CCM ilitumia Dola kupandikiza mawakala (moles) wake katika vyama vipya. Mawakala (moles) wangalipo. #Tujihadhari.

Pichani ni Maandamano mjini #Zanzibar mwaka 1994 kudai Uchaguzi Haraka Zanzibar, Tume Huru, na Kufutwa kwa Sheria 40 za Ukandamizaji
 
๐Œ๐›๐ง ๐ฆ๐ฆ ๐ฌ๐ข๐จ๐ง ๐ค๐ฆ๐š ๐ฃ๐š๐ฆ๐š๐ง ๐ค๐ฎ๐ง๐š ๐ฅ๐ข๐ค๐ž๐ฌ ๐ก๐ฎ๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐ข ๐ฌ๐ข๐ฃ๐š๐ฐ๐š๐ก ๐Ÿ๐ข๐ค๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ก๐š๐ญ๐š ๐ฅ๐ข๐ค๐ž 10 ใ‹›๏ธŽใ‹›๏ธŽใ‹›๏ธŽ
 
TULIKOTOKA: Ujumbe wa Afro Shirazi Party (ASP) kwenye Mkutano wa Uhuru wa Zanzibar (Zanzibar Independence Conference) uliofanyika Lancaster House, London, mwezi Septemba 1963. Kutoka kushoto ni Hasnu Makame, Othman Shariff, Abeid Amani Karume, Aboud Jumbe na Abdalla Kassim Hanga.
===============
siasa haina rafiki wala adui wa kudumu, hao wawili walifanyiwa kitu mbaya sana na huyo bwana karume
1618522430186.png
 
1618522536948.png


Baraza la Mawaziri la Zanzibar Huru tarehe 10 Desemba, 1963.

1. Waziri Mkuu
- Mhe. Mohammed Shamte Hamad

2. Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara
- Mhe. Ali Muhsin Barwani

3. Waziri wa Fedha na Maendeleo
- Mhe. Juma Aley El-Abrawy

4. Waziri wa Mambo ya Ndani na Sheria
- Mhe. Salim Kombo Saleh

5. Waziri wa Elimu na Habari
- Mhe. Maulidi Mshangama Haji

6. Waziri wa Kilimo
- Mhe. Abadhar Juma Khatib

7. Waziri wa Afya, Mawasiliano na Kazi
- Mhe. Dr. Ahmed Abdulrahman Edarus Baalawy

8. Waziri asiyekuwa na Wizara Maalum
- Mhe. Ibuni Saleh

9. Msaidizi Waziri
- Mhe. Amirali Abdulrasul Allarakhia

10. Msaidizi Waziri
- Mhe. Rashid Hamad Othman
 
1618522695131.png


Wajumbe wa Baraza la Taifa (National Assembly) la Zanzibar Huru, tarehe 10 Desemba, 1963 ambalo jumla lilikuwa na Wajumbe 31, Unguja 17 na Pemba 14. Majina, vyama na majimbo waliyokuwa wakiwakilisha ni kama ifuatavyo:

1. Mhe. Abeid Amani Karume
- Kiongozi wa Upinzani (ASP - Kwahani)

2. Mhe. Ali Shariff Mussa
- (ASP - Wingwi)

3. Mhe. Saleh Saadalla Akida
- (ASP - Chaani)

4. Mhe. Hassan Nassor Moyo
- (ASP - Kiboje)

5. Mhe. Hasnu Makame Mwita
- (ASP - Jozani)

6. Mhe. Muhsin Ali Juma
- (ASP - Dole)

7. Mhe. Aboud Jumbe Mwinyi
- Mnadhimu Mkuu wa Upinzani (ASP - Fuoni)

8. Mhe. Rastom Sidhwa
- (ASP - Mwembeladu)

9. Mhe. Daud Mahmoud Jecha
- (ASP - Donge)

10. Mhe. Mohamed Juma Khamis
- (ASP - Mkoani)

11. Mhe. Othman Shariff Mussa
- (ASP - Chwaka)

12. Mhe. Abdulla Kassim Hanga
- (ASP - Kikwajuni)

13. Mhe. Idris Abdulwakil
- (ASP - Makunduchi)

14. Mhe. Rashid Ali Msellem
- (ZNP - Konde)

15. Mhe. Omar Hamadi Mussa
- (ZPPP - Mtambile)

16. Mhe. Bakari Mohamed Bakari
- (ZPPP - Shengejuu)

17. Mhe. Khalef Salim Abdalla
- (ZNP - Kengeja)

18. Mhe. Haji Mohamed Juma
- (ZNP - Mangapwani)

19. Mhe. Kombo Haji Kombo
- (ZNP - Tumbatu)

20. Mhe. Abdulla Juma Khamis
- (ZPPP - Pujini)

21. Mhe. Mohamedali Fazel
- (ZNP - Ziwani)
 
Vyakula Vinavyoongeza Uwezo wa Kujamiana: Chaza/Kilombwe (Oysters) ni mdudu wa baharini jamii ya kombe ambaye makazi yake ni kwenye miamba. Chaza huwa na Zinc, madini yanayosaidia mwili tukokeza testosterone homoni inayohusika kuendesha nyege kwa mwanamke na mwanaume
 
Back
Top Bottom