andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kuna maneno hata chanzo chake huwa ni ngumu kukipata ila yapo mtaani na ni maarufu sana kwenye utumiaji.
😂😂😂😂😂😂Hapana kwa mbinu hiii
Esta shindwaaaaaa
[emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Nionyeshe matusi kwenye quote niliyokuquote.
Nimekuquote kwa Sababu nimehusishwa kwenye quote uliyomquote.
Ulikuwa utani ama si utani it's non of my business[emoji16].
Uwe utakatifu wa kufoji ama Og it's non of your business.
Wala usihangaike kuguess.
Pole kwa kukasirika na nisamehe Sana kwa kukukasirisha.
Kwema shemeji. Nina usongo na ugali wa Kabula ile mbaya. Na ana kwa ana naamini huwezi kutuchagulia ng'ombe wenye vichwa vikubwa na miili midogo kama siafu. Kitaeleweka tu!Shemeji Ze Don kwema?
Nahesabia miezi kwa kushuka chini, maana nimejiandaa kulipa mahali uso kwa uso ili nisidaiwe hewani
Aisee!!Kwema shemeji. Nina usongo na ugali wa Kabula ile mbaya. Na ana kwa ana naamini huwezi kutuchagulia ng'ombe wenye vichwa vikubwa na miili midogo kama siafu. Kitaeleweka tu!
Ila sasa bwana hizi chanjo ni kizungumkuti. Astrazeneca out. Johnson & Johnson also out. Kuna hatari ya damu kuganda kwenye ubongo. Ni ama Pfizer au Moderna japo nazo wengine zinawapa shida na madhara huko mbele ya safari haijulikani kwa sababu hizi ni mpya na tekinolojia iliyotumika kuzitengeneza (kubadilisha DNA ya kirusi) ni mpya. Na ni mara ya kwanza chanjo inatolewa kwa mamilioni ya watu bila kufanyiwa utafiti wa muda mrefu. Kila mtu anahaha kivyake...
Ila tutaona itakavyokuwa. Mungu Akipenda tutaonana aisee. Tuombe uzima tu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Huyu jamaa alianzisha magroup karibia 100+ ya Wasukuma huko WhatsApp. Katibu mkuu wa magroup haya alikuwa Bishop mwenzake hivi. Baadaye waligombana yule bishop mwingine akajitenga na kwenda naye kuanzisha magroup yake mengine 100+ huko. Hoja yao ilikuwa ni kwamba magroup yangezaa umoja ambao hatimaye ungeweza, mbali na mambo mengine yakiwemo kusaidiana, kuendeleza mila na utamaduni wa Wasukuma. Walidai kwamba makabila mengine pia yana umoja na jumuia za aina hii sehemu mbalimbali hapa nchini.Mmmh, hawa watu wanakotaka kutupeleka tusipokuwa makini itafika mahali kila mmoja atajuta
Kwema jirani mvua tu za masikaKwema jirani.
Vipi huko kwenu?
Duh!!Huyu jamaa alianzisha magroup karibia 100+ ya Wasukuma huko WhatsApp. Katibu mkuu wa magroup haya alikuwa Bishop mwenzake hivi. Baadaye waligombana yule bishop mwingine akajitenga na kwenda naye kuanzisha magroup yake mengine 100+ huko. Hoja yao ilikuwa ni kwamba magroup yangezaa umoja ambao hatimaye ungeweza, mbali na mambo mengine yakiwemo kusaidiana, kuendeleza mila na utamaduni wa Wasukuma. Walidai kwamba makabila mengine pia yana umoja na jumuia za aina hii sehemu mbalimbali hapa nchini.
Nilikuwa memba wa kundi moja lakini niliondoka kwa sababu hakuna cha maana kinachoendelea huko. Na kama ni haya magroup yaliyomfanya Rashid ahojiwe basi wamwachie tu. Hakuna lo lote la maana linaloendelea huko na group linaweza kukaa hata mwezi hakuna kinachowekwa halafu anakuja kuposti mtu offer za kujipatia iPhone za bure kutoka Apple. Ni utopolo tu!