Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee!!
Hii ni changamoto nyingine sasa.
Kila jambo huja na kusudio lake, Mungu pekee ndiye atakaye tuvusha ndugu yangu.

Ugali na mboga fulani ya unga unga anaikorogaga na nini sijui, nakula tu, utavikuta.
Mungu azidi kukupigania na kizazi chako chote [emoji120]

Amen kwa sala yako hiyo takatifu. Na kwako pia ikawe vivyo hivyo [emoji1545]

Hiyo mboga ni nyeusi? Inatiwa karanga zilizosagwa, mafuta ya samli na tumaziwa tubichi kwa mbali? Halafu inakaangwa kaangwa hivi? Kama ni hiyo inaitwa ikūbī lya sili. Ila mimi michembe tu na maziwa mgando vitanitosha.

Naam! Ni Mungu tu kwa kweli na si kingine wala mwingine. Sasa wameanza vitisho tena eti kuna variant mpya inateketeza watu huko Brazil ambayo ni kiboko hata hizi chanjo zilizopo hazioni ndani. Ni vurugu tupu yaani. Mungu Aendelee tu kutupigania na kutuweka salama [emoji1545][emoji1545]
 
Oyoo..
Wakuu nimepata kachangaa kengine ka tatu ..nilikua na mapacha wawili Jana kaongezeka mmoja ..hongera nyingi kwa mama la mama nikirudi bongo atakula maisha wacha ale uzazi kwanza adi apagawe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naombeni jina jamani ni wakike...

#babaLaWatotowatatu...hehehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hongera sana.

Mpe annamary

Kwan dini gani mkuu?
 
Aisee!!
Hii ni changamoto nyingine sasa.
Kila jambo huja na kusudio lake, Mungu pekee ndiye atakaye tuvusha ndugu yangu.

Ugali na mboga fulani ya unga unga anaikorogaga na nini sijui, nakula tu, utavikuta.
Mungu azidi kukupigania na kizazi chako chote [emoji120]
Itakua ni Nswalu hio ila wengine wanaita mlenda wa unga
 
Oyoo..
Wakuu nimepata kachangaa kengine ka tatu ..nilikua na mapacha wawili Jana kaongezeka mmoja ..hongera nyingi kwa mama la mama nikirudi bongo atakula maisha wacha ale uzazi kwanza adi apagawe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naombeni jina jamani ni wakike...

#babaLaWatotowatatu...hehehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Masha Allah. Mabrouk
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Oyoo..
Wakuu nimepata kachangaa kengine ka tatu ..nilikua na mapacha wawili Jana kaongezeka mmoja ..hongera nyingi kwa mama la mama nikirudi bongo atakula maisha wacha ale uzazi kwanza adi apagawe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Naombeni jina jamani ni wakike...

#babaLaWatotowatatu...hehehe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongeraaaa......
 
jinsia gani bwana chelsea ollachuga?
hongera sana
Mungu akubariki na uzao wako
 
[emoji16][emoji16][emoji16]
IMG-20210416-WA0003.jpg
 
Neno KOMA

Kwa walio ishi Mwananyamala miaka hiyo ya themanini wanaukumbuka mtiti uliokuwa unatokea likitamkwa neno hili, hasa kwenye mchezo wa REDE.

Ni neno linalo patikana kwenye sentensi "KOMA KAMA ULIVYO KOMA KUNYONYA ZIWA LA MAMA YAKO"
Ni neno lililo tamkwa na mabinti zaidi kuliko wanawake wazima. Akina mama waliishia kusema "wee koma..."
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu jamaa alianzisha magroup karibia 100+ ya Wasukuma huko WhatsApp. Katibu mkuu wa magroup haya alikuwa Bishop mwenzake hivi. Baadaye waligombana yule bishop mwingine akajitenga na kwenda naye kuanzisha magroup yake mengine 100+ huko. Hoja yao ilikuwa ni kwamba magroup yangezaa umoja ambao hatimaye ungeweza, mbali na mambo mengine yakiwemo kusaidiana, kuendeleza mila na utamaduni wa Wasukuma. Walidai kwamba makabila mengine pia yana umoja na jumuia za aina hii sehemu mbalimbali hapa nchini.

Nilikuwa memba wa kundi moja lakini niliondoka kwa sababu hakuna cha maana kinachoendelea huko. Na kama ni haya magroup yaliyomfanya Rashid ahojiwe basi wamwachie tu. Hakuna lo lote la maana linaloendelea huko na group linaweza kukaa hata mwezi hakuna kinachowekwa halafu anakuja kuposti mtu offer za kujipatia iPhone za bure kutoka Apple. Ni utopolo tu!
Navyojua kwenye magroup ya aina hiyo vyombo vya ulinzi na usalama vinapachika watu wao ili kuangalia maudhui.
Sasa huwezi kujua, pengine baada ya hizi sintofahamu zinazoendelea wameamua kubadirisha maudhui ili wabomoe umoja wa kitaifa.
Na kwakweli kama kuna mtu anahatarisha umoja wa kitaifa ati kwakuwa tu anapenda kuona dini yake, kabila lake au kanda yake inakuwa juu, basi mtu huyo ashughulikiwe vilivyo kabla hasira za watu wengine hazijaamka.
 
KWETU, PANDANI - 1
babu andjul ushawahi kufika huko?
credit : mohammed ghassani (khelef)
===========

Wakati nazaliwa na kukulia, Pandani lilikuwa jina lililowakilisha dhana ya kisiasa na kijamii. Kisiasa kwa kuwa lilikuwa jimbo la uchaguzi, likijumuisha Branji ya Shengejuu na ya Pandani yenyewe. Hili neno branji ni ‘branch’ kwa Kiingereza na ilikusudiwa tawi la CCM - chama tulichozaliwa siku moja. Kwa nini iliitwa branji na sio tawi, sifahamu. Ila najuwa kuwa hata kiongozi wale aliitwa Chameni (chairman) na sio Mwenyekiti.
 
Kijamii, Pandani ilianzia Masipa hadi Kilimni na kwa ndani ilifika Mlindo hadi Tunda na kwa upande mwengine hadi Mvimbe. Katikati yake, mulikuwa na mitaa ama viunga au hata vijiji, ambavyo vilisimama kama maeneo huru na wakati mwengine yakiwa na ushindani na hapo tunapopaita Pandani penyewe.
 
Kwa hivyo, hata kama Pandani penyewe ni kijipande kisichozidi kilomita mbili na chenye nyumba zisizofika familia 20, Skuli ya Pandani iliipa maana Pandani yenyewe kuwa pana sana kiasi cha kwamba tunaojitambuwa kuwa Wanapandani tunatoka mwingi - Masipa, Kijuki, Kidutani, Kwamwewe, Rahaleo, Ng’ambu, Mwembebutu, Nafasitele, Kitwangabasi, Kijipu, Madebeni, Mchangani, Kojani, Mtimkuu, Mikongweni, Mvimbe, Vikutani, Mtemani, Kilimni, Tunda na Kipange. Sote ukituuliza, tutakwambia ni watu wa Pandani. Skuli ya Pandani ilitupa hisia ya umoja.
 
Back
Top Bottom