myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
HujamboKwenye hiyo comment ya dini tusi lipo wapi?
Hembu nionyeshe nilipoyamwaga.
Mimi ni binadamu wa kawaida mwenye tabia kama za wengine..si Malaika Mimi.
HujamboKwenye hiyo comment ya dini tusi lipo wapi?
Hembu nionyeshe nilipoyamwaga.
Mimi ni binadamu wa kawaida mwenye tabia kama za wengine..si Malaika Mimi.
Duh....Wasio na dini basi hawapo sawa.
Na kama kuna dini inaruhusu kumsimanga marehemu basi hiyo ni chenga takataka,siyo dini ya Mungu.
Sijambo shikamoo jirani.Hujambo
Mmmh, hawa watu wanakotaka kutupeleka tusipokuwa makini itafika mahali kila mmoja atajuta
Sijambo shikamoo jirani.m
Marahaba jirani...kwema hukoSijambo shikamoo jirani.
Malori mawili yamegonganana na kusababisha maafa.Nini tena jamani? Mungu Awaguse huko kusiwepo na mauti [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Kwema jirani.Marahaba jirani...kwema huko
Hutataki!Mnafiki tu!
Kwanini wanamsimanga mtu ambaye alishakufa?
Huyu mama asije dhani wanampenda Sana,
Wanamng'ong'a tu!mwisho wa siku akistaafu wataanza kumsimanga nayeye.