moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mto Kiwira mpaka nyumbani.
Bujonde Kyela
Bujonde Kyela
Ndiyo yenyewe.Kiwira?
Enzi zao hawa wahenga...
UTAFITI: Unywaji pombe kali (spirits) mfano Konyagi huongeza hamasa ya tendo la ndoa
Usimsikilize Esta. Lengo lake wahenga tuteketee. Ukiwa na shida tu ya moyo kwenye hii mbinu huchomoki...halafu hata utamu huusikilizii sawasawa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Enzi zao hawa wahenga...
AiseeMto Kiwira mpaka nyumbani.
Bujonde Kyela View attachment 1753165
Hata Malawi ilikuwa hivi, kuna vizabizabina walitaka kufunika Katiba ya nchi hiyo ili Joyce Banda apotezwe.
Huyu mkeo siku hizi sijui kaweje? Umemwondoa kwenye Utakatifu ama? [emoji16][emoji16][emoji16]Umesema [emoji848][emoji848]
Mnafiki tu!Heshimu maoni ya wengine, huo ndiyo ustaraabu, haiwezekani wote wewe na msimamo kama wako.
Jifunze siasa, siasa ni kuhitilafiana pasipo kugombana
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Umesema [emoji848][emoji848]
Nimekuelewa hata Mimi mda mwingine napata Sana hasira[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Unajua naumia kichizi mwanangu kuona marehemu anasimangwa.
Hiyo ndio Siasa na hao ndio wana Siasa ili uwe Mwanasiasa lazima uwe Mnafiki.Nitaomba toba kabla sijalala.
Mungu anisamehe tu mimi jamani.
Ila binafsi naumia sana jinsi wanavyomsakama mzee wa watu,
Amekufa,amewaachia nchi lakini bado wanamuandama chaaah!
Tena hili ni linafiki tu linataka teuzi!
Na halipati n'gooo.
Hawa wamezidi aisee.Hiyo ndio Siasa na hao ndio wana Siasa ili uwe Mwanasiasa lazima uwe Mnafiki.
Pale kwenye kamlima panaitwa Ilundo, kaka angu tulie fuatana nae kaburi lake lipo hapoNdiyo yenyewe.
Vipi ndiyo nyumbani hapo jirani
Hapana kwa mbinu hiiiUsimsikilize Esta. Lengo lake wahenga tuteketee. Ukiwa na shida tu ya moyo kwenye hii mbinu huchomoki...halafu hata utamu huusikilizii sawasawa...
Wahenga wote tuseme hapana kwa hii mbinu. Esta shindwaaaa [emoji860][emoji860][emoji860]
Kwahiyo usenge wake ni upi?Mnafiki tu!
Kwanini wanamsimanga mtu ambaye alishakufa?
Huyu mama asije dhani wanampenda Sana,
Wanamng'ong'a tu!mwisho wa siku akistaafu wataanza kumsimanga nayeye.