Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Soka
1618505114906.jpg
 
 
Kunywa pombe/vileo kiistarabu kuna maana usinywe vipimo zaidi ya vitatu (mwanaume) na vipimo viwili (mwanamke). Kipimo= bia 1, gilasi ya 75ml ya mvinyo/wine na gilasi ya 25ml ya pombe kali (spirits) mfano Konyagi.
Pombe kali nikipiga 350ml huwa najisikia kubembea kwa raaaahaaaa....
Hiyo 25ml si itaishia kwenye ulimi
 
Back
Top Bottom