Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1615152043231.jpg
 
Kinuke kidogo ili tuheshimiane. Maneno mengi mno na tunakoelekea nchi haitatawalika hii hasa kama mama atakuwa anafuata maneno na fyoko fyoko hizi za mitandaoni zisizoisha kutoka kwa wanaharakati wetu uchwara hawa. Kinuke kidogo tujue mbivu na mbichi...halafu kila mtu atakuwa na adabu na tutaheshimiana vizuri tu [emoji51][emoji51][emoji51]
Kwakweli kikinuka hasara ni kwetu watanzania masikini, lakini heshima huwa inapatikana kwa njia hiyo.
Ikibidi kinuke
 
Back
Top Bottom