Watafiti wamedai kutumia muda wako sehemu tulivu ya asili husaidia kumpa mtu amani ya akili na moyo hivyo kumkinga mtu na na maradhi ya kihisia kama sonona (depression) na wasiwasi mkubwa (anxiety).
Kujisomea huongeza uwezo wa mtu kufikiri na kujenga hoja. Misuli huimarika na kukua zaidi unapofanya mazoezi vivyo hivyo ubongo huimarika na kutanuka zaidi unapojisomea.
UTAFITI: Kufanya kazi za nyumbani kama kufua, kusafisha nyumba au kutunza bustani ni moja ya mazoezi ya mwili na ni tofauti kabisa na asiyefanya mazoezi kabisa kwa maana husaidia afya nzuri ya akili ya mtu na kuishi umri mrefu zaidi.
Ikiwa tuna kawaida ya kujitahidi kufanya mengi kuliko vile ambavyo muda unaruhusu, tutapatwa na aina ya mkazo (stress) unaosababishwa na kuhisi tumebanwa na wakati
Investing in yourself is the best investment you will ever make. It will not only improve your life, it will improve the lives of all those around you.
Basi, Ikiwa Lile Nisilotaka Ndilo Ninalofanya, Anayelifanya Hilo Si Mimi Tena, Bali Ni Ile Dhambi Inayokaa Ndani Yangu. Maskini Mimi! Ni Nani Atakayeniokoa Kutoka Katika Mwili Unaopatwa Na Kifo Hiki? ~> Waroma 7:20,24.
Inadaiwa taka za plastiki zinazoingia kwenye vyanzo vya maji kama bahari ni hatari kwa afya za viumbe hadi kutia ndani wanadamu. Watafiti waligundua kemikali hatari kwa afya ya binadamu baada ya kuwachunguza. Kemikali zinaweza sababisha saratani/kansa mbalimbali
Ulaji wa vyakula vyenye lishe husaidia kudhibiti uzito kupanda na kupita kiasi kinachopendekezwa kiafya. Kula mboga za majani na matunda kama vile matofaa, ndizi, stroberi, blueberry, rasiberi, and matikiti. Pia kula nyama zisizo na mafuta mengi, kama vile kuku au samaki
Tatizo la kunenepa kupita kiasi linaweza kusababishwa na mambo kadhaa kama vile, kula na kunywa vyakula veyenye kalori nyingi, kutofanya mazoezi na kupatikana kwa urahisi na kwa bei ya chini kwa vyakula visivyo na lishe
Matatizo yanayoweza kuwapata watu kwa sababu ya kunenepa kupita kiasi yanatia ndani kupanda kwa shinikizo la damu, kisukari, magonjwa ya moyo, na aina kadhaa za ugonjwa wa kansa.
Ulaji wa vyakula vyenye lishe husaidia kudhibiti uzito kupanda na kupita kiasi kinachopendekezwa kiafya. Kula mboga za majani na matunda kama vile matofaa, ndizi, stroberi, blueberry, rasiberi, and matikiti. Pia kula nyama zisizo na mafuta mengi, kama vile kuku au samaki
Tatizo la kunenepa kupita kiasi linaweza kusababishwa na mambo kadhaa kama vile, kula na kunywa vyakula veyenye kalori nyingi, kutofanya mazoezi na kupatikana kwa urahisi na kwa bei ya chini kwa vyakula visivyo na lishe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.