Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,791
- 23,561
Good morning. Good day.
Unaruhusiwa kucheza na wife, hata hivyo ni usiku.Mnaruhusiwa kucheza na waifu wakati wa mfungo? Kamwezi kamoja tu hamuwezi kuvumilia? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Mkulima au Bongo movie
Niaje kiongoziKumekucha
[emoji120][emoji120]Na iwe siku ya Baraka tele kwa kila mmoja wetu
Waalykm salaam warahmatullah wabarakatuhAsalaam Alyeikum
Mzima bestWaalykm salaam warahmatullah wabarakatuh
😂😂😂😂🤣🤣🤣Usiku wa kucheza na wife
Hilo jambo hilo, ohooo, shauri yao[emoji2211][emoji2211]